TT Comedian MY WEDING DAY
HTML-код
- Опубликовано: 11 апр 2025
- TT Comedian_ my wedding day
Kenya's youngest Comedian.
It's about: Comedy Laugh's.
For Bookings/Enquiries: +254 738 712728, comedianttke@gmail.com
FB: / ttcomediankenya
IG: / ttcomedian
Twitter: / comediantt
#TTcomedian #tt #LadhayamtaTv @chikunde254 @ TT Comedian Приколы
The man watching ty talking to mjukuu is busy smiling😂😂😂tt tumbo kwanzaa kwelii🙌🙌🙌🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aki I am in love with this small young comedian... kanakaa vizuri na siut ..I wish ingekua niharusi ya ukweli... I love this baby... though hapendi kuitwa mtoto...ocs ako kwa harusi ama😂😂😂😂💜💚💕💕🌹💜🤪😘🙄🥰🥰🖤💙
Hae
Gh bjlvgvhghghhhhbhhghjjjggghhhhhnjhghhghhhvbbbbbjjhhhbbbbbbbbbbbb🦵🦴🦶💌💟💝🥳🦠
uyu TT akifika 25 years hatakuwa hatareee sana kwenye comedy pale uliposema ukichelewesha nitakuitia ocs nlicheka mwenyewe🤣🤣🤣🤣💕TT
Tt umeamua leo kutuua kbsa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaaaaaaa...shosh na TT c mnakuaga more fire akii ...anyway kazi nzuri nyie nyote
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaani TT siku zote nikiangalia comedy kila siku nacheka kwa sauti sana God bless you guyz all in this comedian to countinue entertaning us TT comedian God bless you uendelee kutubamba hivyo hivyo
Mashallah
😄😄😄😄watu wa ushagoo usiwaite kwa harusi watakuja kuchoma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TT amefunga ndoa jameni 🤣🤣🤣🤣🤣 sina la kusema Tunashukuru sana Nakini wewe mdogo sana Leo🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂TT u made my nyt, watu wa ushago wasiitwe harusi yet umekula miwa .🤔🤔
Haha😂😂my friend Sasa badala ya watu wa ushago kuchoma we ndo unachoma ..kuanzana na miwa ..Keep it up TT☑️☑️
Thanks
@@katwin58 welkam
TT ww eti watu wa ushagoo wasikue kwa harusi watakuja kuchoma 😂😂😂😂😂😂😂walae nanikweli juu uyo mwenye miwa amechoma tayari
😂😂😂😂😂 TT umenibamba kweli 😘ulikuwa smart sana,ata kwa harusi yako tuite sisi wa ushago hatutachoma harusi😂😂😂😂mjomba naye ameweza
WAITIINGGGGGGG 💃💃💃💃💃💃.TT UMEFUNGAAA NDOAAA JAMANIIII. WEWE PIA UNAJUWAAAA KUFUNGA NDOAAA.. CANT STOP LAUGHINGGG.. MBAVUUU ZANGUUUUUU😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tt my boy your creativity is on another level, i thought ulikua usimamishe harusi ya wenyewe kumbe ni njaa ilikua inakusumbua. Na kweli umechoma na hiyo miwa🤣🤣🤣🤣
TT kiboko Yao keeping up with TT comedian , hope wengi tumefikiria wenye harusi waliwahi mkosea ndio maana akainua mkono. Rwanda 🇷🇼🇷🇼 twawapenda sana 🤞
Thanks you
Mhhh watu wangu leo Look iko sawa sana,harusi tunayo
Yaani TT leo amedunga yake yote
TT is the best in Africa. Ule ushauri amempa mjukuu ni wa hali ya juu sana. Its comedy with life lessons. Mathiokore amehepa ku dance mwisho mwisho. Mzee wa Kofia alikuwa hapo nyuma. Mama Mdogo yuko kibandani kwake ama? Hongereni nyote!!
Asante
Hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣 TT my boy .... wasema angoje watu wakula kwanza ndio acancel harusi yake sure....
Waaaatttttttttuuuuuuuuuuuu amkeni!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hii si pasi ya makaa hii ni moto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tobaaaa🤣 rohoo yangu mm jamani mbavuu zangu
My guy TT comedian you are looking so smart 👍 that's u, have good talent going far Eti Kwa serious,😂😂👏👏👏 aki hapo Kwa ambulance,na kama gari ya kusima Moto Bibi harusi ni shida pastor ungeza sauti skupati poa sisemi kitu walai Eti tyme ya kukula inaisha harakisha 👏👏
TT Leo umetoka Bomba kama President wa Uganda
Heheeee, tt umeweza mjukuu, heeheee unahung bb harusi nahujajua kama niyy 😀😀😀 shosh i love your advice nice one
Wow by the way nimepata ufunuo wewe TT kweli ni mnjanja sana chochote upigiwa honi ni hatari sana wow
hehee TT, yaani unaeza fanya mjukuu aingize baridi hivo.. bt enyewe food kwa arusi ni muhimu..., much love young man
What do you mean 😳😳😳😂😂..kua mpole my friend...ww ni mtoi wakiume😂😂😂😂
Chakula muhimu 😂😂😂great job TT👍
Umekataaa kutualikaaa harusiiii hata kakituuuuu tungetuma kutoka kwa fans wako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🤣🤣😂🤣you made my afternoon TT ati watu wa ushago wasi alikwe..
🤣wata choma
Hahahahaha
jamani huyu tt boy na team yake cyo wa kenya tuu ni all in east africa,,,am at dsm from tz,,,, tt boy fireeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Great improvement indeed, all the best guys alafu say hi to tt, nampeda bure
Tt my comedian vever disappoint toto wetu
TT ❤️😄😄😄😄😄💕
TT mbavuzangu Leo jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
TT ebu mwambie hawache mchezo kwani kuoa ni sherehe 😂😂😂😂ajui ni covenant
Mtumishi, sijakuja kupinga harusi, bali ongeza volume 🤣🤣🤣 na masaa ya Kagwe noma. Mjukuu, mbona hauku cancel harusi bibi harusi alipofika ila tabasamu ikaingia. Hapo kwa kukiss the bride uliharakisha kusudi asikuponyoke eeh..!! 🤣🤣🤣🤣 You guys are amazing. Good job everyone.
Watu wa Ushagoo usiwaite kwa harusi watakuja kuchoma, surprise ya miwa 😂😂😂
Hahahahaha hapo sasa
Tt Uko na mistari,nakukubali mwambie mwanaume ni kuvumilia 😂
Hali ya hatari imeingia .....TT be blessed tukule kwanza 🤣🤣🤣🤣
tt wanguuuuuuu... aki wewe. hio suit jo!... umenimaliza leo... ati kama ya museveni.. hehehehe
Imaverlous.goodwork TT
Mutahi kagwe should asist these young boy
🤣🤣🤣🤣kumbe mjukuu ndio alikuwa anafuga harusi haki nyinyi huwa mwanipa raha Big up
T'T leo ulitaka uuwe bwana harusi kwa ugonjwa wa moyo. Hahahahaaa'
Hahahahahaha
@@ttcomedian u takm
😜😜😝Tuko ndaniiii. Mkurugenzi amenga'ra. M7 tena
😂😂😂😂😂😂it's amazing like it watu WA ushago mtachoma😹😹😹😹😹😹
Nimeona huyo mnaigeria,pale nyuma,msalimie anyway kazi nzuri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 titi you will not kill me haaaaaa this boy ❤️🔥 bila titi hii kipindi hawezi make. Much love from India
You break my ribs TT.....best comedy ever....keep up with the same spirit boy
Ngojea tukule ndio usimamishe arusi
Was fd5 hi z's free a tree r34 tell me a
Beautiful wedding 😍❤🤣🤣🤣🤣TT hapingi harudi ata baada ya kuinua mkono alaah
Heeee
@@katwin58 t
Hapo kwa M7 killed me 😂😂😂😂😂
Fundi wa Museveni 😂😂😂😂that's true aki 😂😂😂😂
😂😂😂
Umeona eee
@@katwin58 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 mseven
@Mjukuu furaha nayo🔥🔥🔥🔥
@Tt Comedian🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂Imebd nichek tyu..aty kama fundi wa mseven
TT huwezi ni invite wedding😂❣❣❣❤❤❤❤bibi harusi ni mama mdogo😂ako wapy congratulations😊
Wat do you mean,wat do you mean 🥰🥰🥰🥰🥰my best comedian much love from Uganda
Longi bagy uuuuiii leo ndio leo
Tt our kenya best commedian you never disappoint from day one onwards you are just amazing
Hahahahahaha
Mashallah
Hahaaa eti ngojea tukule kwanza then ucancel wedding 😅😅TT never dissapoint
Baby tt love u my favorite actor... U nailed it today
Support kitu gani. Tumekuja kukula hapa😁😁😁😂😂😂😂😂😂
Hahahahahaha habari ndio hiyo
Hebu subiri tukule mwanzo 🤣🤣🤣💯✍🏽
What dew you mean?? What dew yo mean?? TT you crack my ribs🤣🤣🤣🤣
Kua mpole
This team iko juu .. katwine mpango ya TT ilikuwa ni chakula tu
Am so happy for this young genius lets gather here humbly to support this talented Angel
True
Thanks
Keep it up tt
True,,,l support you
@@tashabae637 thanks alot
tt my BBY,,,nakupenda xnaaah😍may Almighty protect u from evil eyes
Tt ww aty museveni tenah😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahahahahaha
The best comedy in Kenya nowadays, big up team, I love everything about you
🤣🤣🤣🤣 Mungu awape maisha marefu ndugu na dada zangu❤️
*what do you mean?* … this boy’s acting skills have improved tremendously, and for someone like me who is aversed to weddings, I was left in awe by how he tied up the ambulance siren with ulululation … congrats👏🏾 to the creative team.
Shukran sana keep the support
Nice tt
Hahaha oh God m7 Rip love form uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬😂
Hahaha 😂
🤣🤣🤣🤣🤣arusi ingekuanga ivi akk poo hii imeua show my tt ata mm naendanga t kukula 💪🤣good job
Hahahahahaha thank you,keep it locked
Leo mbavu zinauma TT umeamua kuchoma kabisa😂😂😂😂
It feels good😊😊when a notification pop in your phone,,thumbs up for TT👍👍
Ambulance, fire fighters na bibi harusi, same whatsapp group😂
Waaah Weldon my little boy point iyo imechukuliwa
This is the Africa we want
Explore your talent ,this boy is very gifted
Tt never disappoints aky this baby boy you will kill us oohh but big up
TT the best in 254 muko vzr full team God bless
Amen
Shukran sana keep the support
Mjukuu 😅😅jikaze kimwanaume baba kuwa mpole
Hahahahaha
Maashallah Walahi TT na team yako hongerani sana tena sana 💞💞💞💞💞💞
Asante sana,keep it locked
Shukran inshallah
Jazak Allah
Katrin kangu
TT hatari God blessed you 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥💪💪
Kazi nzuri mjukuu you deserve an Oscar bro
Wow lets do this
Aki huyu mtoi ni God sent ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Congratulate king,,mwanaume nikujikaza..vumilia ..
Thank you keep on supporting
No one like TT keep shining brother Africans respect what you're doing
Thanks you
Shukran sana keep the support
Ngotea.waxe.wauka
Hamfuati Sheria za mutahi kagwe🤪😂umenimalizaa
Heri heri TT hajaleta kesi leo
TT yeye anajali tumbo 2😂😂😂😂😂😂😂
King of comedy Leo hii itakua surprise kwa ma fans, 🔥🔥🔥🔥wapi likes za king
H
Fb
Heheeee, aky Tt jameni, kumbe nikukula kunafanya uinue mkono,, heheeee
Titi amengara kushinda bwana harusi 😂😂😂😂
At least he didn't spoil the wedding 😂😂
😂😂😂😂
Niaje
@@happyngungur8868 niaje
TT my boy you are doing an amazing job I wish my son who is your age will do what you're doing, keep it up my boy.
Don't worry about it
😂😂😂😂😂😂😂😂😂titi wewe hukuja kwa harusi umekujia ubwabwa😂😂😂😂
Tt uko xwaa keep up with good work well done ✅ 👍👍👍👍🌹🌹🥳🥳
Ati fundi wa M7😂😂😂😂
This young man will be presenting us Kenyans to the whole world 🌎 ❤❤❤ Great talent 👏 👌 👍
Nice talented gal
Wow thanks, very true bro
Thankful sana inshallah
👍 TT uko sawa tu Sana, keep that candle 🕯️ of talent alive, you are going places
Good tt ,,always my day maker
"What d yuuu mean?" Hahah be patience mjukuu.
I have been waiting big up my clever boy in kenya love u ❤❤❤❤💪💪
🇰🇪
🤣🤣🤣🤣huyu dogo shenzi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati fundi wa museveni
Hahahahahaha keep it locked
Tears of joy
I had a dull day thanks God have watched this
Wow thank you,keep it locked
Every time dere
6
In wedding, we should be patient. Fantastic one
Thanks guys for supporting 🙏
@@katwin58 ukoximaty